CHANGAMOTO YA MSALABA

Wakristo wanaweza wakaamini ya kwamba Biblia ni Neno la Mungu lililovuviwa, wakamkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi na wakatamani kumtumikia kwa moyo. Lakini, je, wanaelewa kikamilifu ya kwamba tumeitwa kuuchukua msalaba wetu kila siku na kumfuata; kuyafananisha maisha yetu na mauti yake, mateso yake na kufufuka kwake, kama vile yeye mwenyewe alivyotuamuru?

ÉGALEMENT DISPONIBLE